Meneja
wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), Mkoani Iringa Bw. Haji Musa Usantu
akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa
Makame Mbarawa alipokagua Mamlaka hiyo.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Mwenye
Kofia) akitazama moja ya kifaa kinachopima hali ya hewa ya udongo
alipokagua kiwanja cha Ndege cha Nduli Mkoani Iringa.Kulia ni Meneja wa
(TMA) Mkoani humo Bw. Haji Musa Usantu.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa
maelekezo kwa Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Iringa (Nduli), Bi. Hanna
Kibupile alipokikagua.
Picha kwa hisani ya Kitengo cha Mawasiliano- Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
No comments:
Post a Comment