Wednesday, June 29, 2016

BODI YA USHAURI YA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA YAFANYA ZIARA YA KUANGALIA UFANISI WA KAZI ZA TMA-DAR ES SALAAM

Picha (hapo juu) ni wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya TMA kwenye ziara ya kuangalia utendaji kazi wa Mamlaka katika kituo cha radar ya hali ya hewa iliyopo Bangulo, Pugu-Dar es Salaam, tarehe 27 Juni 2016. Ziara hiyo iliongozwa na mwenyekiti wa Bodi Dkt. Buruhani Nyenzi.
Picha (hapo juu) ni wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya TMA kwenye ziara ya kuangalia utendaji kazi wa Mamlaka katika ofisi ya hali ya hewa iliyopo katika uwanja wa ndege wa kimataifa (JNIA), Dar es Salaam, tarehe 27 Juni 2016. Ziara hiyo iliongozwa na mwenyekiti wa Bodi Dkt. Buruhani Nyenzi.
 Picha (hapo juu) ni wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya TMA kwenye ziara ya kuangalia utendaji kazi wa Mamlaka katika ofisi mbalimbali zilizopo makao makuu, Dar es Salaam, tarehe 27 Juni 2016. Ziara hiyo iliongozwa na mwenyekiti wa Bodi Dkt. Buruhani Nyenzi.No comments:

Post a Comment