Wednesday, February 17, 2016

ZIARA YA WAZIRI WA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO KATIKA KITUO CHA HALI YA HEWA SHINYANGA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof. Makame Mbarawa akipata maelezo ya upimaji wa taarifa (takwimu) za hali ya hewa katika Kituo cha Hali ya Hewa kilichopo katika uwanja wa ndege wa Shinyanga.Anayetoa maelezo ni Meneja wa Kituo hicho Bw. Khamis Omary. Mhe. Waziri amekuwa akiendelea na ziara ya kukagua ufanisi wa kazi katika taasis zilizopo chini ya Wizara yake.

No comments:

Post a Comment