Monday, February 22, 2016

SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WA TUGHE WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NCHINI: TAREHE 17-19 FEBRUARI 2016Mgeni rasmi katika kufunga semina elekezi ya viongozi wa TUGHE, TMA, Mkurugenzi wa Huduma Saidizi Bw. Laurent shauri akikabidhi vyeti na kufunga rasmi semina hiyo, kulia kwake ni Mwenyekiti wa TUGHE Bi. Aurelia Mwakalukwa na kushoto ni makamu mwenyekiti Bw. Benjamin Bikulamchi
Baadhi ya viongozi wa TUGHE, TMA wakisiliza moja ya mada zilizotolewa na mwanasheria Emmanuel Ntenga wakati wa semina ya siku tatu iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo makao makuu ya Ofisi za Mamlaka ya Hali ya Hewa mwezi Februari 2016

No comments:

Post a Comment