Tuesday, March 31, 2015

KAIMU MKUU WA MKOA WA MOROGORO AFUNGUA RASMI BARAZA LA WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NCHINI MKOANI MOROGORO

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Festo Kiswaga (Mkuu wa Wilaya ya Mvomero)  akiongea na wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) katika ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi wa TMA linalofanyika mkoani Morogoro katika hoteli ya Oasis tarehe 31 Machi hadi 01 Aprili 2015.Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt Agnes Kijazi akimkaribisha mgeni rasmi ili kufungua Baraza la wafanyakazi wa TMA linalofanyika mkoani Morogoro katika hoteli ya Oasis tarehe 31 Machi hadi 01 Aprili 2015.

Wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa TMA linalofanyika mkoani Morogoro katika hoteli ya Oasis tarehe 31 Machi hadi 01 Aprili 2015 katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, wa kwanza kulia ni katibu wa baraza bw. Chuki Sangalugembe.

Wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa TMA wakiwakumbuka baadhi ya wafanyakazi waliofariki katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.

Baadhi ya wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa TMA linalofanyika mkoani Morogoro katika hoteli ya Oasis tarehe 31 Machi hadi 01 Aprili 2015 wakimsikiliza mgeni rasmi mhe. kaimu mkuu wa mkoa

No comments:

Post a Comment