Thursday, February 26, 2015

HALI YA HEWA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI NA WADAU WA SEKTA MBALIMBALI KUJADILI UTABIRI WA MSIMU ZA MASIKA 2015 MKOANI PWANI, KIBAHA

Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi akizungumza na wadau wa sekta mbalimbali na wahariri wa vyombo vya habari ( hawapo pichani) inayohusu utabiri wa mvua za msimu wa Machi-Mei 2015, iliyofanyika Kibaha, Pwani Tarehe 26 Februari 2015
Wadau wa sekta mbalimbaliwadau wa sekta mbalimbali na wahariri wa vyombo vya habari wakimsikiliza mkurugenzi mkuu TMA (hayupo pichani) wakati wa warsha inayohusu utabiri wa mvua za msimu wa Machi-Mei 2015, iliyofanyika Kibaha, Pwani Tarehe 26 Februari 2015
Wadau wa sekta mbalimbaliwadau wa sekta mbalimbali na wahariri wa vyombo vya habari katika picha ya pamoja na mkurugenzi mkuu TMA wakati wa warsha inayohusu utabiri wa mvua za msimu wa Machi-Mei 2015, iliyofanyika Kibaha, Pwani Tarehe 26 Februari 2015

No comments:

Post a Comment