Tuesday, September 30, 2014

TMA YAZINDUA JARIDA LA KLIMATOLOGIA LA TATHIMINI YA HALI YA HEWA KWA MWAKA 2011

Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri Eng. James Ngeleja akizindua jarida la Klimatolojia la tathimin ya hali ya hewa kwa mwaka 2011, pembeni Dkt. Agnes Kijazi mkurugenzi mkuu wa TMA akifuatilia uzinduzi huo( mwenye guo nyekundu)

Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi akiongea na vyombo vya habari juu ya umuhimu wa kuanzishwa kwa jarida hili
Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti Dkt. Hashim Ng'ongolo akiwakaribisha wageni waalikwa katika uzinduzi wa  jarida la klimatolojia la tathimin ya hali ya hewa kwa mwaka 2011 uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa TMA makao makuu 
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya TMA katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa  jarida la klimatolojia la tathimin ya hali ya hewa kwa mwaka 2011. TMA itaendelea kutoa matoleo mengine ya kuanzia mwaka 2012 mpaka 2014. Tolea la hivi sasa limepewa namba
ISSN 1821-9411

 


No comments:

Post a Comment