Monday, August 11, 2014

TMA YASHEREHEKEA USHINDI WALIOPATA KWENYE MAONESHO YA NANENANE 2014 KANDA YA KATI NA NYANDA ZA JUU KUSINI

Cheti kilichotolewa na Chama cha Kilimo (TASO) kudhihirisha ushindi wa TMA katika maonesho hayo. TMA ilipata nafasi ya kwanza kwa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na nafasi ya tatu kwa Kanda ya Kati.

Washiriki wa Wizara ya Uchukuzi, TMA pamoja na Taasis zilizo chini ya Wizara ya Uchukuzi wakisherekea ushindi wa nafasi ya tatu katika viwanja vya Nzuguni, Dodoma.
Mkurugenzi wa Huduma Saidizi Bw. Laurent Shauri akirusha puto (ballon) kama ishara ya ushindi kwenye viwanja vya Mwakangale, Mkoani Mbeya. Bw. Shauri alimwakilisha Mkurugenzi Mkuu katika ushiriki wa maonesho ya NaneNane Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.

No comments:

Post a Comment