Tuesday, August 5, 2014

MWENYEKITI WA ALAT MKOA WA DODOMA MHE: KHAMIS MWENDA AFURAHISHWA NA JUHUDI ZA TMA KATIKA KUWAPATIA WAKULIMA TAARIFA ZA HALI YA HEWA


Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma Mhe: Athuman Mwenda akipata maelezo mafupi ya uangazi wa hali ya hewa ardhini kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti na Matumizi Dkt. Ladislaus Chang’a alipotembelea banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa, katika maonesho ya NaneNane 2014, viwanja vya Nzuguni-Dodoma


Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma Mhe: Athuman Mwenda akipata maelezo ya kina jinsi ya uandaaji wa taarifa za hali ya hewa kwa wakulima ili kufanikisha kauli mbiu ya mwaka huu yenye ujumbe wa ‘Matokeo Makubwa Sasa’-Kilimo ni Biashara, vilevile Mamlaka inatekeleza mkakati wa Taifa wa KILIMO KWANZA.Maelezo hayo yalikuwa yakitolewa na kwa Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti na Matumizi Dkt. Ladislaus Chang’a katika banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa kwenye  maonesho ya NaneNane 2014, viwanja vya Nzuguni-Dodoma

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...