Sunday, August 10, 2014

MKURUGENZI MKUU TMA DKT. AGNES KIJAZI ATEMBELEA BANDA LA WIZARA NA TMA NZUGUNI DODOMA KWENYE MAONESHO YA NANENANE 2014

Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt Kijazi akisalimiana na maafisa wa Wizara ya Uchukuzi alipotembelea Banda hilo. Aidha Dkt Kijazi alipata fursa ya kushiriki maonesho ya NaneNane katika banda la TMA kama inavyoonekana kwenye picha zifuatazo:Dkt. Kijazi alipata fursa ya kutembelea mabanda mengine na kuweza kupata maelezo mafupi kuhusu shughuli za Taasisi zao.
Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Kijazi na Mkurugenzi wa Utafiti na Matumizi wa TMA Dkt Ladislaus Chang'a akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL)
Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Kijazi akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Mamlaka za Bandari (TPA)
Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Kijazi akipata maelezo kutoka kwa Maafisa wa TAZARA
Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Kijazi akipata maelezo kutoka kwa Maafisa wa TCAA

No comments:

Post a Comment