Wednesday, July 16, 2014

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 16/07/2014.

 
[Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, Mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Rukwa, Shinyanga, Geita na Simiyu Dodoma  na Singida]:
[Mikoa ya Morogoro, Mtwara, Lindi na Ruvuma]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe na Katavi]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

                                                      
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C
14°C
12:42
12:36
D'SALAAM
31°C
19°C
12:37
12:19
DODOMA
25°C
13°C
12:49
12:35
KIGOMA           
30°C
18°C
01:11
01:01
MBEYA
20°C
10°C
01:03
12:39
MWANZA
29°C
18°C
12:55
12:51
TABORA
29°C
13°C
12:59
12:49
TANGA
28°C
19°C
12:34
12:24
ZANZIBAR
28°C
23°C
12:37
12:19

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kusini-Mashariki kwa ukanda
                               wa Pwani ya Kusini na Kusini kwa ukanda wa pwani ya Kaskazini.

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Ijumaa 18/07/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 16/07/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
No comments:

Post a Comment