Tuesday, July 15, 2014

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 14/07/2014.



[Mkoa wa Kagera]:


Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.



[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Rukwa, Dodoma  na Singida]: [Mikoa ya Mara, Mwanza, Shinyanga, Geita na Simiyu]:
[Mikoa ya Morogoro, Mtwara, Lindi na Ruvuma]:
[Mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe na Katavi]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

ANGALIZO
UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2.0 YANATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI.
                                                      
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C
14°C
12:42
12:36
D'SALAAM
30°C
20°C
12:37
12:19
DODOMA
27°C
14°C
12:49
12:35
KIGOMA           
29°C
18°C
01:11
01:01
MBEYA
24°C
06°C
01:03
12:39
MWANZA
27°C
19°C
12:55
12:51
TABORA
31°C
14°C
12:59
12:49
TANGA
29°C
22°C
12:34
12:24
ZANZIBAR
29°C
23°C
12:37
12:19

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya kusini.

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumatano 16/07/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 14/07/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...