Monday, July 14, 2014

TMA yaendelea na usimikaji (Installation) wa radar ya pili ya hali ya hewa huko Kiseke-Mwanza

Wahandisi kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa wakisimamia kwa ukaribu shughuli nzima ya usimikaji wa Radar ya hali ya hewa

1 comment:

  1. Hongera TMA kwa kazi nzuri mnayofanya ya kuhakikisha wananchi wanapata taarifa za hali ya hewa zilizoboreshwa kutoka kwenye vifaa vya kisasa kama Rada.

    ReplyDelete