Thursday, July 3, 2014

FAHAMU KITUO CHA HALI YA HEWA KILICHOPO KARIBU YAKO

 
Moja ya jukumu la Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini ni pamoja na kuanzisha na kusimamia
mtandao ya vituo vya hali ya hewa hapa nchini ili kupata taarifa sahihi za hali ya hewa kwa ajili
ya kutoa huduma za hali ya hewa katika sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii hasa katika
sekta za kilimo, miundombinu, maji, nishati, mazingira, utalii, n.k.

No comments:

Post a Comment